Maadhimisho hayo yanaendelea ktk uwanja wa Uhuru Dar es salaam. ambapo rais Kikwete hatahutubia umati kwani jeshi linaonesha mambo mbalimbali ya kijeshi.
Viongozi na marais kutoka mataifa ya Namibia, Uganda, Malawi, Kenya nk wameudhuria na maadhimisho yanaendelea kwa makomandoo kuonesha aina mbalimbali za kivita.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment