Ni katika mkutano maalumu wa leo ambapo kamati ya kwanza na ya tano zimewasilisha mapendekezo yake ambapo suala la serikali tatu linaonekana kupewa michango kwa kiasi kikubwa na maoni ya wachche kwa kamati namba moja yamewasilishwa na Dk HUSEIN aliyesema kuwa serikali tatu zinawezekana na Jaji Warioba asipingwe kwasababu hayo ndiyo maoni ya wananchi siyo ya kwake binafsi.
Maoni ya wachche katika kamati namba tano yametolewa na David Kafulila, ambaye amesema lazima maoni ya wachache yazingatiwe kama ilivyozingatiwa suala la vyama vingi lilipokataliwa na wengi na kukubaliwa na wachache lakini likapitishwa kwani hata wachche wana sababu za msingi katika kuchambua na kunusuru taifa.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment