Mkutano uliopangwa kufanywa na wabunge wanaounda
kundi la UKAWA, kesho jumamiosi tarehe 19/04/2014, umezuiliwa na jeshi la
polisi.
Jeshi hilo la polisi, limeandika barua yenye
kumbukumbu namba W/MGH/SO7/2/A/4 ya tarehe 17 April 2014, ikiwataka kusitisha
mkutano huo.
Sababu iliyotolewa na Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar
ni kuwa kuna hofu ya uwezekano wa kutokea vitendo vya ugaidi wakati wa mkutano.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment