
Taarifa ya jana inasema kuwa watu 40 waliojeruhiwa walikuwa kwenye basi la Urio linalofanya safari zake kati ya Arusha-Tanga-Rushoto.
Ajali hiyo imetokea saa 10 jioni wakati basi la Urio likikwepa gari jingine katika makutano ya barabara ya uwanja wa ndege wa kimataifa KIA
katika barabara ya Mosji -Arusha karinu na ktuo kimoja cha mafuta.
Endelea kufuatilia mtandao huu kupata taarifa rasmi kama kuna vifo na hali za majeruhi.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment