Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) katika
maonyesho ya mika 30 ya ALAT mjini Tanga May 14, 2014. Mheshimiwa Pinda
alifungua mkutano Mkuu wa ALAT. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua
Kitabu cha Miaka 30 ya ALAT katika Mkutano Mkuu wa ALAT alioufungua May 14,
2014 mjini Tanga . Kulia ni Mwenyekiti wa ALAT, Dr. Didas Masaburi na kushoto
ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa,
Hawa Ghasia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua
banda la Kampuni ya MAXCOM ambayo inaenedesha Mtandao wa Kisasa wa
Manunuzi na malipo ya huduma mbalimbali baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa
30 wa ALAT mjini Tanga May 14, 2014. kulia ni mwenyekiti wa ALAT, Dr.
Didas Masaburi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwanaharakati.



No comments:
Post a Comment