![]() |
Kijana ambaye jina lake halijafahamika alipogongwa na kuawa |
Basi hilo la abiria mali ya kampuni ya
CHAKITO LONG WAY namba T354 ARK linalofanya safari zake kati ya jiji la Arusha
na jiji la Dar es salaam limemgonga mtoto aliyekuwa akiendesha baiskeli na
kumuua papo hapo baada ya kumuumiza vibaya wilayani Korogwe.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu mtoto
huyo amegongwa na basi hilo alipokuwa akivuka barabara na basi hilo lilikuwa
katika mwendowa kasi kuelekea jijini Dar es salaam kumgonga.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment