![]() |
| Katika picha kushoto Mac Ngaiza, na mkewe Wema na mtoto wao Bertha. |
![]() |
| Akikata keki niliyoandaliwa. |
![]() |
| Kulia ni Jerome John, Alloyce Nyalaja(DJ Baunsa) na uncle wangu Antia |
![]() |
| Kushoto Denice John, mwandishi Chanel ten Mathias Byabato katikati |
![]() |
| Neema safari kulia, Bertha katikati na wife Wema wakinipongeza kwa makofi |
![]() | |
| Kwa pamoja tukiimba wimbo wa Happy birthday |
![]() |
| Peace Damian kulia, mwanafamilia Mwl katikati na mama watoto wake kushoto. |
![]() |
| Projestus Binamungu na Jerome John wakipata kuku. |

Jambo pekee kwa watanzania ni kumwomba Mungu akujarie kutambua jema na baya, ila anawashukuru nyote mlioshiriki kumpongeza.
Na Mwanaharakati.








No comments:
Post a Comment