Mochwari ya Hospital ya Kaigara ikiwa imewekewa ulinzi
mkali baada ya kuvamiwa na wananchi waliotaka kuchukua mwili wa mtoto
aliyesafirishwa kutoka Arusha kuwa ulikuwa umekatwa baadhi ya viungo
|
Jeneza lenye mwili wa marehemu anayedaiwa kukatwa
baadhi ya viungo vya mwili
|
Amesema kuwa sababu ya ndugu hao kutaka kuchukua mwili huo, zilitajwa kuwa ndugu hao awali walilalamika kuwa nduguyao ameuawa na kunyofolewa baadhi ya viungo vyake, hivyo walitaka polisi na madaktari kufanya uchunguzi hadhalani jambo ambalo lilikataliwa na wataalamu, lakini badaye wananchi walijihisi kuwa wamekosea, na kuamua kuhitaji mwili huo ili wakazike bila uchunguzi.
Katika sakata hilo, mwandishi mmoja wa habari, ambaye kamanda alisema kuwa ni ndugu wa waliohusika, alijeruhiwa na kupatiwa matibabu Zahanati ya Kaigara baada kukiri kupigwa na polisi kuwa kwanini anapiga picha.
Mwandishi wa habari wa Mwananchi Shaabani Ndyamukama
ambaye amekamatwa na kupewa kipigo na Polisi baada ya kufuatlia tukio la mtoto
anayedaiwa kufariki na kukatwa baadhi ya viungo
|
Shaabani Ndyamukama akipata matibabu Hopsital ya
Kaigara,Wilayani Muleba
|
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment