MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 2 June 2014

SHIDA YA USAFIRI DAR ES SALAAM BAADA YA DALADALA KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE

 Katika tukio la leo, daladala zimekuwa zikipita katika kityuo cha mwenge bila kusimama, huku abiria wengi wakiangaika kusimamaisha na kuzua wasiwasi kwao wengine kuchelewa kwenye majukumu yao ilhali wenye uwezo wakichukua Bajaj.
Waendesha Bajaj wakiendelea kubeba abiria kituoni hapo.

Hii ni siku ya kwanza tangu wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.
 Na Mwanaharakati.

No comments: