Uchaguzi wa
wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya
Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu
za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara
mwaka 2013.
Majina ya Wanafunzi
waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano
mwaka 2014.
-MAJINA-YA-SHULE-M-
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment