MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 23 August 2014

MASKINI!!! MAHAKIMU MAILIMOJA MKOANI PWANI.

Wanafanyia kazi katika jengo ambalo limekandikwa kwa udongo, hakuna umeme na linavuja, je nyalaka zitahifadhiwa kweli?
Jengo la mahakama mjini Mailimoja Kibaha mkoani Pwani, ambapo kama linavyoonekana, mahakimu wanadai bora wabanane hapohapo kuliko kupelekwa vijijini kusikoeleweka, kuwa watapata shida zaidi.
Na Mwanaharakati.

No comments: