|
Agosti 9, 2014,
Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani
ilifanya uchaguzi wake mkuu. Matokeo yake
yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu
mbalimbali.
|
| Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (kushoto) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (kulia) na katikati ni Mubelwa Bandio mtangazaji wa kwanza jamii, wakati wa mahojiano maalum. |
| Mmoja wa wagombea hao, Salma Moshi amaketi nasi kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014 . |
No comments:
Post a Comment