Kupitia gazeti la THE TIMES OF ISRAEL, Benjamin alitoa kauli kuwa anaheshimu kauli ya waziri wake wa mambo ya ndani iliyomtaka kujiuzulu kutokana na mwenendo ya Gaza dhidi ya Palestina.
Katika mkutano wake jana, waziri wa mambo ya ndani wa Israel Gidion Sa'ra akiwahutubia wajumbe 1000 amesema kutokana na kazi yake muhimu katika ulinzi wa Israel ameona mengi katika kilichojiri kwenye vita ya Gaza hivyo akamtaka waziri mkuu Netanyahu kujiuzulu la sivyo ataondoka yeye.
Muda mfupi baada ya Netanyahu kupokea ujumbe majibu hayakumridhisha toka kwa Netanyahu hivyo amepima miaka20 nyuma na kutazama 12 aliyohudumu kama waziri anaona ni bora ajiuzulu yeye.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment