Polisi mkoani Geita wamekutana kwa dharura kuhusu vifo vya askari polisi wawili ambao wamevamiwa katika kituo cha polisi Bukombe, ambapo mmoja amejeruhiwa na slaa kadhaaa kuibiwa sambamba na nyalaka za jeshi hilo.
Endela kufuatilia.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment