Waziri Mkuu, mizengo Pinda akizungumza
na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), Vivianne Yeda (kushoto) na Mjumbe wa Bodi
ya EADB,Khadija Simba baada ya kufungua Semina ya Wanasheria wa Serikali wa
nchi za Afrika ya Mashariki ya kuwajengea uwezo wanasheria hao katika
kuchambua na kufikia mamuzi ya mikataba ya uvunaji maliasili za mataifa hayo,.
Semina hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya White sands jijini Dar es salaam
Septemba 9, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
|
No comments:
Post a Comment