MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 14 October 2014

BREAKING NEWS!!! MABOMU NA RISASI YARINDIMA MANISPAA YA BUKOBA

 Taarifa za awali kuttoka kwa mashuuda zinasema kuwa ni baada ya mwendesha pikipiki ya biashara manispaa ya Bukoba, kupambana na askari wa kamatakamata pikipiki zenye makosa mbalimbali, ambapo inadaiwa amepigana nao na kukimbilia ndani ya bankya CRDB tawilaBukoba.
Tukio hilolimetokea saa12 jioni katikati ya mji wa Bukoba, ambapo inasemekana mwendesha pikipikiambaye jila lake halijafahamika amepigana na askari hao na kusababisha taaruki ambayo imewafanya polisi kupiga mabomu ya machozi na risasi kutawanaya wananchi waliofurika katika mji huo kushuudia vurugu hizo huku wakirusha mawe kuwapiga polisi.

Wananchi wakiwamo walinzi wa kampuni binafsi wakikimbia wakati polisi wakifyatua mabomu ya machozi.
Polisi wakizunguka katika barabara ya Kashozi kuendelea kufukuza wananchi waliokuwa wakishuudia
Baadhi ya wafanyabiashara wa maduka wakinawa huku wengine wakilia kutokana na maumivu ya mabomu ya machozi
Na Mwanaharakati.

No comments: