MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 4 October 2014

BREAKING NEWS!!! POLISI YATUMIA MAJI YA KUWASHA KUTAWANYA WAANDAMANAJI DAR

 Taarifa inasema kuwa katika maandamano hayo, polisi imemkamata mbunge wa Kawe Bi Halima Mdee, aliyekuwa akiongoza maandamano hayo ya wanawake chadema.
Tutakuletea undani wa taarifa hiyo.
Na Mwanaharakati.

No comments: