Moto wateketeza soko la wilaya ya
Urambo huko mkoani Tabora usiku wa kuamkia leo hii Jumatatu ya tarehe
13/10/2014.
Inasemekana kuwa chanzo cha moto huo
ni mabaki ya moto katika moja ya banda la mama ntilie ambaye hufanya biashara
zake katika soko hilo.
Asilimia kubwa ya mabanda madogo
madogo ya ndani yameteketea na vitu vichache walifanikiwa kuviokoa.
Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment