Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders. |
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika. |
Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club. |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment