Mfanyabiashara
maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama
Chonji(mwenye suti), akiwa chini ya ulinzi.
Vyanzo
vyetu makini kutoka jeshi la polisi zinasema kuwa mali zinazochunguzwa kutokana
na tuhuma hizo nzito ni maghorofa, fedha pamoja na magari anayomiliki.
“Tuliambiwa kuwa huyu bwana alikuwa akiishi maisha ya hali ya juu, sasa kutokana
na tuhumza zake polisi wameanza kuchunguza kila alichonacho ili kujua uhalali
wake,” kilisema chanzo.
HALI tete,
siku chache baada ya
mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama Chonji kukamatwa na kutupwa gerezani kwa tuhuma za kukamatwa na dawa kulevya, sasa mali zake zimeanza kuchunguzwa.

Chanzo
hicho kiliendelea kusema kuwa, kuna baadhi ya watoto wa vigogo
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment