Hayowameelezwa na mwezeshaji kutoka uwakilishiwaumoja
wamataifa UNA, Bwana LAURANCE CHUMA, katika semina ya wajumbe wa uwakilishi wa
UN tawi la Kagera, ambapo wametakiwa kuandaa mpango mkakati wa utekelezzaji wa
miradi ya maendeleo kwa jamii ya watu wa Kagera.
UNA Kagera ina jumla ya wanachama 22 baada ya kuanzishwa mwanzoni mwa 2014, kwa lengo la kuwa balozi wa watanzania katika umoja wa mataifa, ambapo iko kwa klengo la kufanya shughuli za maendeleo kwa kusaidia serikali katika utekelezaji wake.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment