MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 11 November 2014

TAZAMA MBUNGE ALIYEANGUKA GHAFLA BUNGENI DODOMA, NA KUKIMBIZWA HOSPITALINI KWA MATIBABU ZAIDI





Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Bunge jana mchana.

Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yuko kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.
  Na Mwanaharakati.

No comments: