MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 16 December 2014

BREAKING NEWS!!! KOCHA MSHINDO AFARIKI DUNIA




Ni Mshindo Madega aliyekuwa mchezaji wa Zamani wa mpira ,timu za RTC Kagera na timu ya Mkoa Lweru Eagles.

Kifo chake kimetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne Dec 16,2014 nyumbani kwake Kashai baada ya kuugua kwa muda mfupi!MUNGU AMUWEKE PANAPOSTAILI AMIN.


Na Mwanaharakati.

No comments: