MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 15 December 2014

MATOKEO SERIKALI ZA MITAA HAYA HAPA

Katika uchaguzi huo, manispaa Bukoba ina mitaa 66 ambapo CUF 2,CHADEMA 29 na CCM imeongoza kwa kushinda mitaa 35.

Hatahivyo uchaguzi huo umetajwa kuwa na mapungufu baada CCM kulalamikia utaratibu ulifanyika katika baadhi ya maeneo kisiwani Nyabesiga kwenye kata Kahororo kwa kuwakatalia wapiga kura waliotokea visiwa vya Kerebe muda mrefu kutokana na majuku Yao.
Na Mwanaharakati.

No comments: