MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 14 December 2014

MATOKEO YA UCHAGUZI SERIKALI ZAMITAA

Taarifa za kura kuhusu wagombea mbalimbali  mkoani Kagera yanaonesha kuwa wilayani Karagwe Ukawa wameonesha kuwa mbele, katika maeneo ambayo wameshatangaza matokeo.

Katika manispaa ya Bukoba, taarifa ambazohazijathibitishwa zinaonesha kuwa mtaa wa Kisindikata Kashai CCM imepoteza kiti na Kashaihalisi na Kashenye, viti maalumu CCM wamepoteza nafasi,na katika moja ya mitaa ya Kitendaguro inaonesha CCM imepoteza nafasi.

Tutaendelea kukuletea udani kwasababu bado wanaendelea na hesabu za kura.
Na Mwanaharakati.

No comments: