Nicolaus Mac (None Association Movement)
KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)
Monday, 1 December 2014
POLISI ILIVYOTUMIA MABOMU DAR
Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam jana
limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga wanaofanyia
biashara eneo la Karume baada ya kukataa kuondoka eneo hilo kwa ustaarabu na
kuzua vurugu.
No comments:
Post a Comment