Staa
wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka.
|
MADAI!
Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Severin Daniel Ndauka amejitokeza
katika Ofisi za Global Publishers na kudai kwamba, staa wa sinema za Bongo,
Rose Donatus Ndauka ni mtoto wa kaka yake ambaye alichukuliwa kutoka Tanga na
kupelekwa jijini Dar.
Mzee
huyo aliyekuwa akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, alisema mwaka
1979, shemeji yake, Nyazimbili au mama Godwin (anayedaiwa ni mama wa Rose)
alijifungua mtoto wa kike katika Kijiji cha Sakura wilayani Pangani, Tanga
ambapo kwa bahati mbaya mama huyo alifariki dunia hivyo mtoto kuchukuliwa na
kanisa ambalo lipo Msimbazi Dar hakutaka kulitaja jina lililomlea mtoto huyo
kwa kuwa familia haikuwa na uwezo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment