Tunaarifiwa kuwa Bilionea mmoja huko
Nigeria ameliwekea urembo gari la Hummer yenye thamani ya dola 1,000 na kumzika
nayo mama yake katika mji wa Enugu nchini Nigeria.
Gari la Hummer lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa kaburini. |
Bilionea akimzika mama yake ndani ya gari la Hummer nchini Nigeria. |
No comments:
Post a Comment