MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 4 December 2014

TAZAMA PICHA ZA MAHAKAMA YA TANZANIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI

Mhe. Jaji Mstaafu Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akitoa neno katika Mkutano Kati ya Mahakama na Vyombo vya Habari, 'Judiciary Media Forum' unaofanyika Leo katika UKUMBI wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre. (JNICC).
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa kwanza kushoto), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wa pili kushoto, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa  tatu kulia) na baadhi ya Majaji na wageni waalikwa wa Mkutano huo wakifuatilia mjadala katika Mkutano huo, ambao umelenga kujenga uhusiano katika utendaji kazi wa Mahakama pamoja na Vyombo vya Habari.

Baadhi ya Waheshimiwa Majaji wakiwa katika Mkutano huo uliofanyika katika UKUMBI wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl. Nyerere (JNICC).
Baadhi ya WAHARIRI wa Vyombo vya Habari wakiwa katika  Mkutano huo leo.
Na Mwanaharakati.

No comments: