Huyu ndiye Kakakuona aliyeonekana
leo maeneo ya Kigamboni jijini Dar,
Ambapo wananchi walimwekea maji,
kisu, unga na pesa,huku taarifa za wanancnhi zikisema kuwa alijikunjua na
kunywa maji mengi sana, akafuata unga na pesa, lakini wala akuelekea vilipokuwa
panga na kisu.
Watabiri wa mambo wanasema tutarajie
mema mwakani.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment