Ni baada ya kifo cha baba yake mzazi mzee Feldinand C Rweyemamu, aliyeaga dunia siku mbili zilizopita katika hospitali ya Bugando alikokuwa akipatiwa matibabu.
 |
| Kaijage katikati wakati wa mazishi ya baba yake mzazi |
 |
| Mama mzazi wa Florian Kaijage kushoto wakayi mazishi yakiendelea, aliyesimama katikati ni mwanahabari Anjero Mwoleka, ambaye katika msiba huo amefiwa na baba yake mdogo. |
 |
| Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoani Kagera Phinias Bashaya akiweka shada la maua kwenye kaburi la mzee Feldinand. |
Mzee Feldinand alikutwa na mauati hospitalini Bugando Mwanza, alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume mwaka jana.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment