MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 9 January 2015

MAZUNGUMZO YA SPIKA NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI OFISINI KWA SPIKA BADO FARAGHA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anne
Makinda akimkaribisha ofisini kwake Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju wakati alipofanya ziara fupi ya kubadilishana mawazo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju akifanya mazungumzo  na Spika wa Bunge Mheshimiwa Anne Semamba Makinda kwenye ofisi ndogo za bunge Dar-es-salaam.
Na Mwanaharakati.

No comments: