MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 3 January 2015

PICHA ZA MAANDAMANO YA WAISLAMU MKOANI KAGERA

 Katika manispaa ya Bukoba maandamano hayo yameanzia msikiti wa Jamiah, na kuzungukia soko kuu la Bukoba, hadi uwanja wa mashujaa kupitia TRA, na mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa wa Kagera huku mwenyeji wake ni shekh mkuu wa mkoa Haruna Kichwabuta.








Katika sikukuu hiyo waislamu ukesha wakisali na kuimba huku mawaidha mbalimbali yakiongozwa na viongozi kadhaa wa kidini hutolewa ambapo katika mkesha wa leo katika manispaa ya Bukoba wapo mashekh kama Kakwekwe na wengineo.
Na Mwanaharakati.

No comments: