Aliyewahi
Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka
2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel, ametangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,baada
ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipozungumza na
wakazi wa Mji wa Tanga.

Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment