MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 19 February 2015

AJALI YA ZIMAMOTO BUKOBA



Ni gari aina ya BENZ ya huduma ya zimamoto kutoka kituo kikuu Bukoba, imeanguka katika eneo la Migera manispaa ya Bukoba, wakati ikielekea kwenye kata hiyo ya Migera manispaa ya Bukoba, baada ya uwapo wa taarifa kuwa nyumba inaungua moto katika kata hiyo.

Huku ikiwa na askari takribani..............
watano, gari hiyo imeanguka huku haikufanikiwa kufika eneo la tukio, na tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi za waliokuwa kwenye gari hilo na hali ya moto kwenye nyumba iliyotajwa kuungua.


Na Mwanaharakati.

No comments: