Askari 11 wa jeshi hilo la Magereza mkoani Kagera, wametunukiwa na mnadhimu wa jeshi hilo, kutoka cheo cha Sajenti kuwa kuwa Staf sajenti.
Hatahivyo mkuu wa gereza la Bukoba ACP Emmanuel Mugyabuso, amesema kuwa askari wengine 17 watatunukiwa vyeo vyao katika vituo vyao wilayani mkoani Kagera.................
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment