Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya
pamoja ujumbe kutoka Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women's
Federation for World Peace la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya
New Otani jijini Tokyo Mchi 13, 2015 ambako amefuatana na
Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano
kuhusu namna ya kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14,
2015. Kutoka kushoto ni Mutsako Setomoto, Chieko Sasamoto,
Yoko Shima na Kazunori Arase. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment