RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA
UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA.
UTANGULIZI: Tangu mwaka 2008 mwenendo wa
kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA
ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya
chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili
kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka.
Ifahamike kuwa chama kina idara ya
ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za
majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada
ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya
ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe.............
Ndiyo ile iliyotolewa wakati huo kupitia-halihalisi255.wordpress.com/2013/11/04/r...-juu-ya-zitto-kabwe/
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment