Waganga
wa jadi 18 wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani kagera kutokana na ramli
chonganishi.
Takwimu
hizo zimetolewa na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa kagera HENRY MWAIBAMBE
wakati akiongea na vyombo vya habari.
Kamanda
mwaibambe amesema kuwa katika msako huo
ambao unaendelea katika mkoa watuhumiwa kumi wanaoshikiliwa ni 10 Bukoba 5 Misenyi 3.
Kamanda
amesema kuwa baada ya kukamilisha uchunguzi watuhumiwa hao watafikishwa
mahakamani.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment