Kamati kuu ya
CCM yawatimua akina
Chenge, Ngeleja na Tibaijuka, huku hatima ya akina
Lowassa , Membe na
Wengine ikiachiwa Kamati
ya Maadili' kwa uchunguzi zaidi..............
CCM imewazuia kuingia katika vikao vya juu vya chama hicho kutokana na uchotaji wa fedha za ESCROW mpaka suala hilo litakapopatiwa ufumbuzi
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment