MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 14 May 2015

BALOZI KAGASHEKI CCM ATIMIZA AHADI YA OMBI LA KATIBU WA CHADEMA MANISPAA YA BUKOBA.

Ni ununuzi wa tochi na Betry za kata nane lililoombwa na mwenyekiti wa katika moja ya mitaa ya Kitendaguro ambaye alitoa ombi la vitendea kazi hivyo katika mkutano wa mbunge huyo katika kata ya Kitendaguro wikiiliyopita  ili waweze kudumisha ulinzi kutokana na  hali ya mahafa kwenye kata hiyo.

Balozi Kagasheki ametoa TOCHI mbalimbali na beri zake kila mtaa kwenye mitaa hiyo  8 ambapo mtendaji  Merry Mushumbu, amepokea vifaa hivyo kupitia kwa Jumanne Bingwa aliyepeleka vifaa hivyo kwa niaba ya mbunge Kagasheki, kama inavyosikika hapa.
Katibu huyo wa CHDEMA wilaya Bw  MWEYUNGE, na mwenyekiti katika moja ya mtaa kwenye kata Kitendaguro, aliomba vifaa hivyo ambavyo ni tochi, betri na filimbi ambavyo vyote vimekabidhiwa leo.

Itakumbukwa kuwa kata Kitendaguro imekuwa ikikumbwa na mauaji ya kuchinjwa kwawatu tangu october 9 2014,alipouawa mwalimu Dioniz Ng'wandu kwenye kanisa la Pentekoste, kijana aliyekutwa ameuawa nakutolewa macho, Mozes Kashaga,  na vijana wengine wawili waliouawa kwa ileile ya vifo mwezi machi mwaka 2015.

Na Mwanaharakati.

No comments: