MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 8 May 2015

UJUMBE WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU WATUA OFISINI KWA WAZIRI MKUU PINDA.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Kujua muafaka wa mazungumzo yao, endelea kufuatilia hapa.

Na Mwanaharakati.

No comments: