MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 2 June 2015

BREAKING NEWS RAIS WA FIFA SEPP BLATTER AMEJIUZULU. SOMA UNDANI

Sepp Blatter amejiuzulu baada ya siku nne tu tangu achaguliwe kushika wadhifa huo wa soccer duniani.

Itakumbukwa Sepp amelalamikiwa kugombea nafasi hiyo kwa muhula wa tano, ilhali sekta ya soka ikilalamikiwa kwa matatizo kadhaa, ingawaje alishinda kutokana na uungwaji mkono wa mataifa kadhaa.

Tutakuletea sababu za kujiuzulu hivi punde.
Na Mwanaharakati.

No comments: