Kanisa hilo limefanya uchaguzi mkuu na kumchagua Abedinego Keshomshaara, kuwa askofu wa jimbo hilo, kwa kuongoza kwa maiaka 20 mfululizo.
Akizungumza katika uchaguzi huo wa sinodi, aksofu mkuu wa tanzania KKKT, Dr Alex Malasusa, amesema kuwa lazima taratibu zizingatiwe ili kuendeleza kanisa hilo.
Waliogombea ni Amosi Mshendwa, Dr Abedinego Keshomshaara, Josephat Rweyemamu, ambao wanachukua nafasi iliyoachwa wazi na Elisa Buberwa.
Kura zimepigwa mara tatu katika uchaguzi huo bila kumpata mshindi, ambapo Keshomshaara, ameshinda katika awamu ya tatu baada ya kufikisha theruthi tatu kwa kupata ushindi wa asilimia 51%, Josephat Rweyemamu akapata 46% na Amos Mshendwa aliondolewa katika awamu ya pili.
Picha zitafuata hapa
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment