MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 1 June 2015

MAREHEMU SAMUEL NTAMBARA LUANGISA, KUZIKWA NA KAMPUNI YA KIMATAIFA


Maandalizi ya maziko yake yamekamilika huku ndugu na jamaa wanapokea ujumbe ulioongozana na mwili wa marehemu, mpakani wa Uganda na Tanzania.

Mwili wa marehemu Luangisa, uliagwa rasmi jumamosi huko New York Marekani, na kuanza safari ambapo leo unapokelewa hadi nyumbani kwake Kitendaguro, na jioni itafanyika misa maalumu, katika kanisa la KKKT Kashura, na baada ya hapo utazungushwa mjini Bukoba.



Bofya chini kujionea ilivyokuwa huko New York


Na Mwanaharakati.

No comments: