MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 2 June 2015

RPC KAGERA KUHAMISHWA, KAULI YAKE KUHUSU MAUAJI BUKOBA HII HAPA



. Amesema mtandao ni mzito,
. Ashindwa kuwataja wanaoshikiliwa,
. Aipongeza Kasibante redio Bukoba.


Kamanda Henry Mwaibambe, amesema kuwa utaratibu umekamilika way eye kuhamishiwa mkoani Mtwara, naye anaona ni mafanikio kwani amehamishiwa kwenye mkoa wenye changamoto na unaoangaliwa zaidi kwasasa na watanzania kutokana na historia iliyopo mkoani humo sasa.


Na Mwanaharakati.

No comments: