Ni katika eneo la Nkindo nje kidogo ya mji wa Bukoba karibu kabisa na chuo cha SAUTI ambapo taarifa za awali zimesema kuwa madereva wote katika magari hayo mawili wamefariki papo hapo.
Ni magari aina ya Fuso na Canter ambapo yamegongana jioni ya leo 7july ambapo moja ilikuwa ikitokea Bukoba mjini kuelekea barabara ya Muleba huku moja imetajwa kutokea Maruku Bukoba Vijijini.
Shuuda wetu ameaema kuwa mmoja wa madereva amefahamika kama muharabu aliyekuwa akiendesha gari ya Y2K ya mjini Bukoba.
Mkoani Arusha Mbunge wa Arumeru Joshua Nasari ameanguka na Elikopta na kutoka salama huku aliyekuwa naye kujeruhiwa mguu.
Tutakuletea undani wa habari hiyo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment