. Mmoja akutwa hana hatia na mahakama yamwachia huru,
. Kesi hiyo imechukua miaka 7 kukamilika.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imewahukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona. Licha ya kuhukumiwa miaka 3 jela Mawaziri hao wa zamani wanapaswa kulipa faini ya Sh 5m kila mmoja.
Katika kesi hiyo ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia hasara serikali, mtuhumiwa mwingine aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja amekutwa hana hatia.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment