. Ni kutokana na azimio la kamati ya
maadili,
. Baada ya kutajwa kuvunja kanuni ya
74
Kamati ya maadili ya bunge, imesema kuwa imepitia malalamiko
ya spika pamoja na kuwahoji wahusika, na kubaini makosa ya kulisababishia bunge
hasara, huku kanuni ya 74 kifungu kidogo cha kwanza (a) na (b) ambapo kamati
inamamlaka ya kuchukua hatua na kuamua hatua hiyo kuanzia leo.
Imesema kuwa John Myika, Mozes Machali, Gekuli, Felix
Mkosamali, Rashidi Abdalah, Mchungaji Msigwa, Tundu Lisu na Khalifa Suleiman, ambao kamati imesema kuwa hawataruhusiwa kuudhulia vikao vyote vya bunge vilivyosalia vya kikao cha 40.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment