Katika kuhitimisha hotuba yake bungeni jioni hii, rais Kikwete ametoa pongezi kwa viongozi wote aliofanya nao kazi akianza na marais waliotangulia na kufikia kwa waziri wa zamani Eadward Lowasa ambapo bunge zima limezizima kwa shangwe na kumlazimu Lowasa kusimama ili wamuone.
Vidoe itafuata hapa.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment